News

‎Iringa. Soko maarufu la Mashine Tatu lililopo katika Manispaa ya Iringa limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Julai 12, ...
Dar es Salaam. Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa CS Sfaxien, Balla Moussa Conte leo Ijumaa, Julai 11, 2025. Kiungo huyo wa ulinzi raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 21, alikuwa na ...
Dar es Salaam. “Kila mwanadamu ana mapungufu yake yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua. Kila mwanadamu mabaya yake yeye, Ni ye ...
Kaimu Mkurugenzi wa huduma za kinga kutoka Wizara ya afya, Dk Otilia Gowele akizungumza na viongozi wa dini na wadau wengine ...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (Nida) imesema inaandaa mkakati wa kufanya utafiti ili kuanza kutoa vitambulisho vya ...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini ...
Wakati Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ikitupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kiongozi huyo ...
Tanzania na China zimeeleza mikakati ya kuendelea kuimarisha ushirikiano baina yao katika maeneo matatu ikiwemo ...
Biashara kati ya India na Tanzania imeongezeka hadi kufikia Sh20.64 trilioni mwaka 2024, kutoka Sh20.13 trilioni mwaka ...
Mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM), Francis Ndulane, amepata ajali na kuvunjika mguu wakati akiwa kwenye mchakato wa mchujo wa ...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Stephen Nindi amezitaka nchi za Afrika kushirikiana na mataifa mengine kutengeneza ...
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imetoa siku 10 kwa wajibu maombi kuwasilisha utetezi wa maandishi katika shauri la Kikatiba ...