Nuacht

Kutokana na changamoto ya upatikanaji wa mawe na mchanga kisiwani hapo, Serikali ina mpango wa kusafirishia madini hayo kutoka Tanzania Bara na kuyaleta hapa kwa lengo la kupunguza changamoto hiyo.
Kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali inayokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kusikilizwa leo Alhamisi ...
Tangu Bunge la 12 la Tanzania kukamilisha rasmi shughuli zake tarehe 27 Juni 2025. Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, ...
Maelezo ya picha, Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kutogombea urais wa Zanzibar mwaka huu. Maelezo kuhusu taarifa. Author, Rashid Abdallah Nafasi, Mchambuzi, Tanzania ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa sekta ya utalii ni sekta ya ...
Nchi ya Tanzania hii leo inaadhimisha miaka 54 ya mapinduzi ya Zanzibar, mapinduzi yaliyoshuhudia kuangushwa kwa utawala wa Sultan na familia yake January 12 mwaka 1964.
(Novemba 30, 2021) – Serikali ya Tanzania haijavichukulia hatua vikosi vya ulinzi na wanamgambo wanaoungwa mkono na serikali waliohusika katika kuwaua watu visiwani Zanzibar wakati wa uchaguzi ...
Serikali ya Zanzibar imetoa vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Comoro, Msumbiji, Burundi na ...
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania inang’ara katika biashara duniani. Dk Mwinyi alisema hayo wakati ...
Tanzania: Zanzibar na katiba ya Jamhuri ya Muungano 13.06.2012 13 Juni 2012. Leo tarehe13.06.2012, baraza la Wawakilishi Zanzibar limepokea Sheria Nambari 8 ya mwaka 2012 iliyopitishwa na Bunge la ...
Jeshi la polisi visiwani Zanzibar nchini Tanzania linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki katika eneo la Mtoni mkoa wa Mjini Magharibi.
TAMASHA la kimataifa la filamu Zanzibar (ZIFF), ndiyo kongwe na kubwa la filamu Afrika Mashariki. Limekuwa likifanyika ...